Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Februari uku. 1
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • AMKENI!
  • AMKENI!
  • MSIKILIZE MUNGU
  • ANDIKA UTANGULIZI WAKO
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Februari uku. 1
Kutoa broshua Msikilize Mungu nchini Indonesia

Dada wakitumia broshua Msikilize Mungu nchini Indonesia

Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

AMKENI!

Gazeti la Amkeni!, Na. 1 2016 | Mtazamo Unaweza Kuboresha Maisha Yako!

Swali: Hii ni nakala yako ya gazeti la karibuni zaidi la Amkeni! Ona swali hili kwenye ukurasa wa 2. Una maoni gani kuhusu swali hilo?

Andiko: Met 24:10

Pendekezo: Makala hii ina habari zaidi kuhusu swali hilo.

AMKENI!

Swali: Je, ni muhimu kuchagua marafiki wazuri?

Andiko: Met 13:20

Pendekezo: Makala hii ya Amkeni! ina habari muhimu kuhusu kuchagua marafiki wazuri. [Mwonyeshe makala iliyo kwenye ukurasa wa 10-11.]

MSIKILIZE MUNGU

Broshua Msikilize Mungu

Swali: Je, ungependa kuishi katika ulimwengu kama huu? [Mwonyeshe ukurasa wa 2-3, na umruhusu ajibu.]

Andiko: Yer 29:11

Pendekezo: Broshua hii inatueleza jinsi tunavyoweza kumsikiliza Mungu ili tufurahie wakati ujao. [Zungumzia ukurasa wa 4-5.]

ANDIKA UTANGULIZI WAKO

Tumia mapendekezo hayo kuandika utangulizi wako.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki