Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Julai uku. 7
  • Ni Nani Mtu wa Maana Zaidi Katika Maisha Yako?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Nani Mtu wa Maana Zaidi Katika Maisha Yako?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Jibu la Yehova kwa Sala ya Kutoka Moyoni
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Sehemu ya 2
    Msikilize Mungu
  • “Mbarikini Yehova”—Kwa Sababu Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Kuvumilia Udhalimu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Julai uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 79-86

Ni Nani Mtu wa Maana Zaidi Katika Maisha Yako?

Mtunga-zaburi akipiga kinubi

Inawezekana kwamba mtungaji wa Zaburi ya 83 alikuwa mzao wa Mlawi aliyeitwa Asafu, aliyeishi wakati mmoja na Mfalme Daudi. Zaburi hiyo iliandikwa katika kipindi ambacho mataifa yenye uadui yalikuwa tishio kwa watu wa Yehova.

83:1-5, 16

  • Katika sala yake, mtunga-zaburi alikazia fikira jina la Yehova na enzi yake kuu badala ya usalama wake binafsi

  • Leo, watumishi wa Mungu wanaendelea kukabili mashambulizi mbalimbali. Kuvumilia kwetu kwa uaminifu humletea Yehova heshima

83:18

  • Yehova anataka tulijue jina lake

  • Tunapaswa kuonyesha kwa matendo kwamba Yehova ndiye Mtu wa maana zaidi katika maisha yetu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki