Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Agosti uku. 8
  • Kampeni ya Pekee ya Kusambaza Mnara wa Mlinzi Mwezi wa Septemba

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kampeni ya Pekee ya Kusambaza Mnara wa Mlinzi Mwezi wa Septemba
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Wafariji Wale Wanaohuzunika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • ‘Wafariji Wote Wanaoomboleza’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Jinsi Mungu Anavyotufariji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2016
  • Faraja na Kitia-Moyo Vito Vyenye Pande Nyingi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Agosti uku. 8

MAISHA YA MKRISTO

Kampeni ya Pekee ya Kusambaza Mnara wa Mlinzi Mwezi wa Septemba

Mnara wa Mlinzi Na. 5 2016 | Unaweza Kupata Wapi Faraja?

Watu ulimwenguni pote wanahitaji faraja. (Mhu 4:1) Mwezi wote wa Septemba tutafanya jitihada ya pekee kutoa gazeti la Mnara wa Mlinzi. Habari kuu ya gazeti hilo itakuwa kuhusu faraja. Jitahidini kutoa gazeti hilo kadiri iwezekanavyo. Kwa sababu tungependa kuzungumza moja kwa moja na watu ili kuwafariji, hatutaacha gazeti hilo kwenye nyumba ambazo hazina watu.

JAMBO LA KUSEMA

“Mara kwa mara, kila mmoja wetu anahitaji faraja. Unafikiri tunaweza kuipataje? [Soma 2 Wakorintho 1:3, 4.] Toleo hili la Mnara wa Mlinzi linaonyesha jinsi Mungu anavyotufariji.”

Mtu akionyesha upendezi na kukubali gazeti hilo, . . .

ONYESHA VIDEO KWA NINI UJIFUNZE BIBLIA?

Mweleze kuhusu mpango wa kujifunza Biblia.

WEKA MSINGI WA ZIARA YA KURUDIA

Muulize swali ambalo utajibu utakaporudi, kama vile, “Kwa nini Mungu anawaacha watu wateseke?”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki