Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 14
  • Je, Wewe Hutenda Bila Kufikiri?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Wewe Hutenda Bila Kufikiri?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Mfano Unaofaa wa Mawasiliano Mazuri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Mmiminie Yehova Moyo Wako Katika Sala
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Abigaili na Daudi
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Alitenda kwa Busara
    Igeni Imani Yao
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 14
Picha: 1. Daudi akiwasimamisha wanaume wake walio na silaha wanapokutana na Abigaili na watumishi wake wakiwa na vyakula. 2. Abigaili akipiga magoti kwa unyenyekevu mbele ya Daudi huku akimsihi.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Wewe Hutenda Bila Kufikiri?

Ombi la Daudi lenye usawaziko lilijibiwa kwa matusi (1Sa 25:7-11; ia 78 ¶10-12)

Bila kufikiri Daudi alitaka kuwaua wanaume wote wa nyumba ya Nabali (1Sa 25:13, 21, 22)

Abigaili alimsaidia Daudi kuepuka hatia ya damu (1Sa 25:25, 26, 32, 33; ia 80 ¶18)

JIULIZE: ‘Je, mimi hutenda bila kufikiri ninapokasirika, ninaponunua vitu, au ninapokuwa nimevunjika moyo? Au je, mimi hutua na kufikiria madhara kabla ya kutenda?’​—Met 15:28; 22:3.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki