Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 15
  • Hadi Ufufuo Utakapokuwa Halisi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hadi Ufufuo Utakapokuwa Halisi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Mpendwa Wako Anapokufa
    Habari Zaidi
  • Fundisho la Ufufuo Linakuhusu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Je, Sanda ya Turin Ndicho Kitambaa Ambacho Yesu Alifungwa Alipozikwa?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Tumaini la Ufufuo Linamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 15
Mama akimkumbatia binti yake aliyefufuliwa katika Paradiso.

MAISHA YA MKRISTO

Hadi Ufufuo Utakapokuwa Halisi

Mpendwa wetu anapokufa, tunafarijiwa na tumaini la ufufuo. Hata hivyo, dhambi na kifo ni kama kifuniko kinachotulemea sisi sote. (Isa 25:7, 8) Hiyo ni sababu moja kwa nini “uumbaji wote unaendelea kuugua pamoja na kuwa katika maumivu pamoja.” (Ro 8:22) Tunaweza kukabilianaje na kifo cha mpendwa hadi wakati ambapo ufufuo utakuwa halisi? Neno la Mungu lina kanuni zinazoweza kutusaidia.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA MPENDWA WAKO ANAPOKUFA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Ni uchungu gani ambao Danielle, Masahiro, na Yoshimi wamekabili?

  • Mapendekezo matano yanayofaa yaliwasaidiaje?

  • Ni nani Chanzo kikuu cha faraja?​—2Ko 1:3, 4

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki