Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 5
  • Mfalme Sulemani Anafanya Uamuzi Usio wa Hekima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfalme Sulemani Anafanya Uamuzi Usio wa Hekima
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Sulemani Atawala kwa Hekima
    Biblia—Ina Ujumbe Gani?
  • Je, Yeye Ni Mfano Mzuri au Ni Onyo Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Waimarishe Wengine Wakati wa Taabu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • “Iweni na Imani Katika Yehova Mungu Wenu”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 5
Mfalme Sulemani akiwaza kuhusu uamuzi atakaofanya. Picha: 1. Jiji lenye ngome. 2. Farasi na magari ya vita. 3. Wanaume wawili wakifanya kazi ngumu ya kujenga ukuta.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfalme Sulemani Anafanya Uamuzi Usio wa Hekima

[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Mambo ya Nyakati.]

Sulemani alijikusanyia farasi na magari ya vita kutoka Misri (Kum 17:15, 16; 2Nya 1:14, 17)

Ili kutunza farasi na magari hayo yote ya vita, watu wengi zaidi walihitajika na majiji zaidi yalihitajika pia (2Nya 1:14; it-1 174 ¶5; 427)

Ingawa watu walikuwa na ufanisi katika kipindi fulani cha utawala wa Sulemani, baadaye aliwabebesha mizigo mizito. Mwana wake Mfalme Rehoboamu alipoanza kutawala watu waliasi kwa sababu alifanya maisha yao kuwa magumu hata zaidi. (2Nya 10:3, 4, 14, 16) Sikuzote maamuzi yetu huwa na matokeo fulani.—Gal 6:7.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki