Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 14
  • Mtegemee Yehova—Lini?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mtegemee Yehova—Lini?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • “Iweni na Imani Katika Yehova Mungu Wenu”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • “Kuna Thawabu kwa Ajili ya Kazi Yenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Tenda kwa Hekima Katika Kipindi Chenye Amani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 14

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mtegemee Yehova—Lini?

Asa alimtegemea Yehova ili kushinda jeshi kubwa (2Nya 14:9-12; w21.03 5 ¶12)

Baadaye Asa aliwategemea Wasiria ili kushinda jeshi dogo zaidi (2Nya 16:1-3; w21.03 5 ¶13)

Yehova alikasirishwa na Asa kwa sababu hakuendelea kumwomba msaada (2Nya 16:7-9)

Picha: 1. Mwanamume kijana akibatizwa. 2. Mwanamume huyohuyo ameketi mbele ya televisheni na anafanya uamuzi kuhusu kipindi atakachotazama.

Huenda tukamtegemea Yehova tunapofanya maamuzi makubwa maishani, lakini vipi kuhusu pindi nyingine? Ni muhimu kumtambua Yehova katika njia zetu zote.—Met 3:5, 6; w21.03 6 ¶14

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki