Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 12
  • Walijidhabihu kwa Ajili ya Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Walijidhabihu kwa Ajili ya Yehova
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Kutoa Dhabihu Ambazo Zinampendeza Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Je, Utatoa Dhabihu kwa Ajili ya Ufalme?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • “Mimi Hapa! Nitume Mimi”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Watu Waaminifu Hutimiza Nadhiri Zao
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 12

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Walijidhabihu kwa Ajili ya Yehova

Familia ziliombwa ziache makao na ardhi yao ya urithi na kuhamia Yerusalemu (Ne 11:1; w98 10/15 22 ¶13)

Waliokuwa tayari kujidhabihu walibarikiwa (Ne 11:2; w86 2/15 22)

Sikuzote baraka tunazopata kutoka kwa Yehova ni nyingi kuliko dhabihu tulizotoa (Mal 3:10; w16.04 8 ¶15)

Picha: 1. Wenzi wa ndoa wakiweka vitu vyao katika maboxsi na begi. 2. Wenzi hao wanatumikia katika nchi ya kigeni na wanamhubiria habari njema mwanamke mmoja.

JIULIZE, ‘Nimepata baraka zipi baada ya kujidhabihu ili kumtumikia Yehova?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki