Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mrt makala 107
  • Yesu Atakomesha Vita

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Atakomesha Vita
  • Habari Zaidi
  • Habari Zinazolingana
  • Yesu Atakomesha Umaskini
    Habari Zaidi
  • Ni Nani Atakayewaokoa Raia?​—Biblia Inasema Nini?
    Habari Zaidi
  • Kwa Nini Siasa Inasababisha Migawanyiko?​—Biblia Inasema Nini?
    Habari Zaidi
  • Ufalme wa Mungu​—Una Umuhimu Gani kwa Yesu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Habari Zaidi
mrt makala 107
Wavulana wawili wakiketi pamoja wakitazama eneo lililoharibiwa kwa sababu ya vita.

AspctStyle/stock.adobe.com

KAMPENI YA UKUMBUSHO

Yesu Atakomesha Vita

Yesu alipokuwa duniani, alionyesha anawapenda watu sana, kufikia hatua ya kudhabihu uhai wake kwa ajili yao. (Mathayo 20:28; Yohana 15:13) Hivi karibuni ataonyesha tena kwamba anawapenda watu kwa kutumia mamlaka yake akiwa Mfalme wa Ufalme wa Mungu ‘kukomesha vita katika dunia yote.’​—Zaburi 46:9.

Ona jinsi Biblia inavyofafanua kile ambacho Yesu atafanya:

  •  “Atamwokoa maskini anayelilia msaada, pia mtu wa hali ya chini na yeyote ambaye hana msaidizi. Atamhurumia mtu wa hali ya chini na maskini, naye ataokoa uhai wa maskini. Atawaokoa kutoka katika ukandamizaji na ukatili.”​—Zaburi 72:12-14.

Tunaweza kuonyeshaje uthamini kwa ajili ya mambo yote ambayo Yesu amefanya na atakayotufanyia? Kwenye Luka 22:19, Yesu aliwaambia wafuasi wake wakumbuke kifo chake. Hiyo ndiyo sababu kila mwaka Mashahidi wa Yehova hukutana ili kuadhimisha kifo chake. Tunakualika ujiunge nasi kuadhimisha Ukumbusho wa kifo cha Yesu Jumapili, Machi 24, 2024.

Tafuta Mahali Ukumbusho Utakapofanyika

Pia tunakualika uhudhurie hotuba ya pekee ya Biblia yenye kichwa “Ufufuo—Ushindi Dhidi ya Kifo!” Hotuba hiyo itatolewa juma moja kabla ya Ukumbusho. Msemaji atazungumzia jinsi ufufuo unavyokunufaisha wewe na wapendwa wako.

Tafuta Mahali Hotuba ya Pekee Itakapotolewa

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki