-
Mathayo 12:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Kisha wakamletea mwanamume kipofu aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa na roho mwovu, Yesu akamponya, na yule bubu akaanza kuongea na kuona.
-
-
Mathayo 12:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Ndipo wakamletea mwanamume aliyeingiwa na roho mwovu, aliye kipofu na bubu; naye akamponya, hivi kwamba yule bubu akaongea na kuona.
-