30 Ndipo umati mkubwa ukamjia, na kuwaleta watu waliokuwa viwete, vilema, vipofu, mabubu, na wengine wengi, nao wakawaweka miguuni pake, naye akawaponya.+
30 Ndipo umati mkubwa ukamkaribia, wakiwa pamoja na watu waliokuwa viwete, vilema, vipofu, mabubu, na wengine wengi, nao wakawaweka miguuni pake, naye akawaponya;+