-
Mathayo 15:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Ndipo umati mkubwa ukamkaribia yeye, ukiwa pamoja na watu waliokuwa vilema, walioharibika viungo, walio vipofu, mabubu, na wengi wa hali tofauti, nao wakawatupa kabisa miguuni pake, naye akawaponya;
-