Mathayo 28:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Walipoondoka na kwenda, baadhi ya walinzi+ wakaenda jijini na kuwajulisha wakuu wa makuhani mambo yote yaliyotokea. Mathayo 28:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Walipokuwa wameondoka na kwenda, tazama! baadhi ya walinzi+ wakaingia jijini na kuwaambia wakuu wa makuhani mambo yote yaliyokuwa yametukia.
11 Walipoondoka na kwenda, baadhi ya walinzi+ wakaenda jijini na kuwajulisha wakuu wa makuhani mambo yote yaliyotokea.
11 Walipokuwa wameondoka na kwenda, tazama! baadhi ya walinzi+ wakaingia jijini na kuwaambia wakuu wa makuhani mambo yote yaliyokuwa yametukia.