-
Marko 14:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Basi msaliti wake alikuwa amewapa ishara waliyokubaliana akisema: “Yule nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni na kuondoka naye akiwa chini ya ulinzi.”
-