-
Luka 7:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Akaketi miguuni pa Yesu, akalia na kulowesha miguu yake kwa machozi na kuifuta kwa nywele za kichwa chake. Pia, akaibusu kwa wororo miguu ya Yesu na kuipaka mafuta ya marashi.
-
-
Luka 7:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 na, baada ya kukaa miguuni pake, akalia na kuanza kulowesha miguu yake kwa machozi yake naye akawa akiyafuta kwa nywele za kichwa chake. Pia, akaibusu miguu yake kwa wororo na kuipaka mafuta yenye marashi.
-