52 Kisha Yesu akawauliza wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu na wazee waliokuja kumkamata: “Je, mmekuja kunikamata mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba mimi ni mwizi?+
52 Ndipo Yesu akawaambia wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu na wanaume wazee waliokuwa wamekuja hapo kumchukua: “Je, mlitoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni juu ya mnyang’anyi?+