Luka 23:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ndipo Herode na wanajeshi wake wakamtendea kwa dharau,+ naye Herode akamdhihaki+ kwa kumvika vazi la kifahari na kuagiza arudishwe kwa Pilato. Luka 23:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ndipo Herode pamoja na askari-jeshi wake walinzi wakamfedhehesha,+ naye akamdhihaki+ kwa kumvika vazi jangavu na kumrudisha kwa Pilato.
11 Ndipo Herode na wanajeshi wake wakamtendea kwa dharau,+ naye Herode akamdhihaki+ kwa kumvika vazi la kifahari na kuagiza arudishwe kwa Pilato.
11 Ndipo Herode pamoja na askari-jeshi wake walinzi wakamfedhehesha,+ naye akamdhihaki+ kwa kumvika vazi jangavu na kumrudisha kwa Pilato.