-
Luka 23:51Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 (Mtu huyo hakupiga kura kuunga mkono njama na kitendo chao.) Alikuwa wa kutoka Arimathea, jiji la Wayudea, naye alikuwa akiungojea Ufalme wa Mungu.
-