-
Luka 23:51Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 (Mtu huyo hakupiga kura kuunga mkono njama na kitendo chao.) Alikuwa wa kutoka Arimathea, jiji la Wayudea, naye alikuwa akiungojea Ufalme wa Mungu.
-
-
Luka 23:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 mtu huyu hakuwa amepiga kura katika kuunga mkono mbinu yao na tendo—alikuwa wa kutoka Arimathea, jiji moja la Wayudea, naye alikuwa akingoja ufalme wa Mungu;
-