Yohana 4:50 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 50 Yesu akamwambia: “Rudi nyumbani; mwanao yuko hai.”+ Yule mtu akaamini maneno ambayo Yesu alimwambia, akaondoka. Yohana 4:50 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 50 Yesu akamwambia: “Shika njia uende zako;+ mwana wako yuko hai.”+ Yule mtu akaliamini neno ambalo Yesu alikuwa amemwambia, akashika njia na kwenda zake.
50 Yesu akamwambia: “Rudi nyumbani; mwanao yuko hai.”+ Yule mtu akaamini maneno ambayo Yesu alimwambia, akaondoka.
50 Yesu akamwambia: “Shika njia uende zako;+ mwana wako yuko hai.”+ Yule mtu akaliamini neno ambalo Yesu alikuwa amemwambia, akashika njia na kwenda zake.