-
Yohana 9:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Yesu akasikia kwamba walikuwa wamemfukuza mtu huyo. Basi alipompata akamuuliza: “Je, unamwamini Mwana wa binadamu?”