Yohana 18:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Basi Yuda akaja na kikosi cha wanajeshi, maofisa wa wakuu wa makuhani na wa Mafarisayo, wakafika hapo wakiwa na mienge, taa, na silaha.+ Yohana 18:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Kwa hiyo Yuda akachukua kikosi cha askari-jeshi na maofisa wa wakuu wa makuhani na wa Mafarisayo nao wakaja hapo wakiwa na mienge na taa na silaha.+ Yohana Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 18:3 Yesu—Njia, uku. 284 Mnara wa Mlinzi,10/15/1990, uku. 8
3 Basi Yuda akaja na kikosi cha wanajeshi, maofisa wa wakuu wa makuhani na wa Mafarisayo, wakafika hapo wakiwa na mienge, taa, na silaha.+
3 Kwa hiyo Yuda akachukua kikosi cha askari-jeshi na maofisa wa wakuu wa makuhani na wa Mafarisayo nao wakaja hapo wakiwa na mienge na taa na silaha.+