16 lakini Petro alikuwa amesimama nje kwenye mlango.* Basi yule mwanafunzi mwingine, aliyejulikana na kuhani mkuu, akatoka nje na kuzungumza na mlinzi wa mlango, akamwingiza Petro ndani.
16 lakini Petro alikuwa amesimama nje kwenye mlango.+ Kwa hiyo yule mwanafunzi mwingine, ambaye alijulikana na kuhani mkuu, akatoka nje na kusema na mtunza-mlango, akamwingiza Petro ndani.