-
Yohana 21:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini wale wanafunzi wengine wakaja katika ile mashua ndogo, kwa maana hawakuwa mbali na nchi kavu, karibu umbali wa meta 90 tu, wakiukokota wavu wenye samaki wengi.
-