-
Matendo 5:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Basi chini ya hali zilizopo, ninawaambia, msiingilie mambo ya watu hawa, bali waacheni. Kwa maana, ikiwa mpango huu au kazi hii ni ya wanadamu, itaangamizwa;
-