-
Matendo 14:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Naye kuhani wa Zeu, ambaye hekalu lake lilikuwa kwenye mwingilio wa jiji, akawaleta ng’ombe dume na mashada ya maua kwenye malango, naye alitaka kutoa dhabihu pamoja na umati.
-