-
Matendo 21:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Baadhi ya wanafunzi kutoka Kaisaria wakaenda pamoja nasi, wakatupeleka kwa Mnasoni wa Kipro, mwanafunzi wa zamani ambaye tulipaswa kuwa wageni nyumbani kwake.
-