-
Matendo 23:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Basi ninyi pamoja na Sanhedrini mwambieni kamanda wa jeshi amshushe kwenu kana kwamba mnataka kuchunguza zaidi kesi yake. Lakini kabla hajafika, tutakuwa tayari kumuua.”
-