-
Matendo 23:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa hiyo, basi, nyinyi pamoja na Sanhedrini mfanyeni kamanda wa kijeshi aelewe ni kwa nini apaswa kumleta chini kwenu kama kwamba mwakusudia kuhakikisha kwa usahihi zaidi mambo yanayomhusu. Lakini kabla hajafika karibu hakika sisi tutakuwa tayari kummaliza.”
-