-
Matendo 27:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Lakini baada ya kuiingiza ndani wakaanza kutumia misaada ili kuikaza mashua chini; nao wakiogopa kupanda mwamba katika Sirti, wakashusha vifaa vya kuendeshea na hivyo wakachukuliwa.
-