-
Matendo 27:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Lakini ofisa wa jeshi alikuwa ameazimia kumfikisha Paulo salama naye akawazuia ili wasitekeleze mpango wao. Akawaamuru wale ambao wangeweza kuogelea wajitupe baharini na watangulie kuogelea mpaka nchi kavu,
-
-
Matendo 27:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Lakini ofisa-jeshi akataka kumpitisha Paulo akiwa salama naye akawazuilia wasitimize kusudi lao. Naye akawaamuru wale ambao wangeweza kuogelea wajitupe baharini na kufika kwenye nchi kavu kwanza,
-