-
1 Wakorintho 8:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kwa maana yeyote akikuona wewe uliye na ujuzi ukila mlo katika hekalu la sanamu, je, dhamiri ya huyo aliye dhaifu haitapata ujasiri kufikia hatua ya kula chakula kilichotolewa kwa sanamu?
-