-
1 Wakorintho 14:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Ndivyo ilivyo pia kwa vitu visivyo na uhai ambavyo hutoa sauti, iwe ni filimbi au kinubi. Kusipokuwa na tofauti kati ya sauti, kinachopigwa kwenye filimbi au kwenye kinubi kitajulikanaje?
-