-
Wagalatia 2:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Sasa ikiwa sisi pia tumepatikana kuwa watenda dhambi tulipokuwa tukitafuta kutangazwa kuwa waadilifu kupitia Kristo, basi je, Kristo ni mhudumu wa dhambi? La hasha!
-