-
Tito 3:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Wote walio pamoja nami wanakusalimu. Wape salamu zangu wale wanaotupenda katika imani.
Fadhili zisizostahiliwa za Mungu na ziwe pamoja nanyi nyote.
-