-
3 Yohana 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Hata hivyo, ninatumaini kukuona hivi karibuni, nasi tutazungumza uso kwa uso.
Na uwe na amani.
Rafiki wanakutumia salamu zao. Wape rafiki salamu zangu kwa jina.
-