-
3 Yohana 14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Bali ninatumaini kukuona wewe moja kwa moja, nasi tutasema uso kwa uso.
Na uwe na amani.
Marafiki wakupelekea salamu zao. Wape marafiki salamu zangu kwa jina.
-