-
Mwanzo 4:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Pia Zila alimzaa Tubal-kaini, aliyekuwa akitengeneza vifaa vya kila aina vya shaba na chuma. Na dada ya Tubal-kaini aliitwa Naama.
-