Mwanzo 34:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Basi Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi:+ “Mmeniletea taabu kubwa* kwa kunifanya niwe uvundo kwa wakaaji wa nchi hii, Wakanaani na Waperizi. Nina watu wachache, nao kwa hakika wataungana na kunishambulia, nao wataniangamiza, mimi na nyumba yangu.” Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 34:30 w04 1/15 28 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 34:30 Mnara wa Mlinzi,1/15/2004, uku. 28
30 Basi Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi:+ “Mmeniletea taabu kubwa* kwa kunifanya niwe uvundo kwa wakaaji wa nchi hii, Wakanaani na Waperizi. Nina watu wachache, nao kwa hakika wataungana na kunishambulia, nao wataniangamiza, mimi na nyumba yangu.”