-
Mwanzo 36:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Hatimaye hawa ndio wana wa Oholibama, mke wa Esau: Shehe Yeushi, Shehe Yalamu, na Shehe Kora. Hao ndio mashehe wa Oholibama binti ya Ana, mke wa Esau.
-