Mwanzo 36:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Hawa ndio wana wa Sibeoni:+ Aya na Ana. Huyu ndiye Ana aliyepata chemchemi za maji ya moto nyikani alipokuwa akiwachunga punda wa Sibeoni baba yake.
24 Hawa ndio wana wa Sibeoni:+ Aya na Ana. Huyu ndiye Ana aliyepata chemchemi za maji ya moto nyikani alipokuwa akiwachunga punda wa Sibeoni baba yake.