-
Mwanzo 37:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Haya basi, njooni tumuue na kumtupa ndani ya shimo moja la maji, halafu tutasema kwamba aliliwa na mnyama mkali sana wa mwituni. Tuone itakuwaje kwa ndoto zake.”
-