-
Mwanzo 39:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Basi mke wa Potifa akaishika kwa nguvu nguo ya Yosefu akisema: “Lala nami!” Lakini Yosefu akaiacha nguo yake mikononi mwake na kukimbilia nje.
-