-
Mwanzo 41:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Baada yao, ng’ombe wengine saba wenye sura mbaya na waliokonda walipanda kutoka katika Mto Nile, wakasimama karibu na wale ng’ombe wanono kwenye ukingo wa Mto Nile.
-