Mwanzo 41:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Lakini asubuhi, roho yake ikafadhaika. Basi akaagiza makuhani wote wachawi wa Misri na watu wake wote wenye hekima waitwe. Farao akawasimulia ndoto zake, lakini hakuna yeyote aliyeweza kumwambia Farao maana yake.*
8 Lakini asubuhi, roho yake ikafadhaika. Basi akaagiza makuhani wote wachawi wa Misri na watu wake wote wenye hekima waitwe. Farao akawasimulia ndoto zake, lakini hakuna yeyote aliyeweza kumwambia Farao maana yake.*