-
Mwanzo 41:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Wale ng’ombe saba waliokonda na wenye sura mbaya ambao walipanda baada ya wale wanono, ni miaka saba, na yale masuke saba ya nafaka yaliyo matupu, yaliyochomwa na upepo wa mashariki, yanamaanisha miaka saba ya njaa kali.
-