Mwanzo 41:43 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 43 Zaidi ya hayo, akampandisha katika gari lake la pili la heshima, na watu walikuwa wakimtangulia na kusema kwa sauti, “Avrekh!”* Kwa hiyo Farao akamweka kuwa msimamizi wa nchi yote ya Misri.
43 Zaidi ya hayo, akampandisha katika gari lake la pili la heshima, na watu walikuwa wakimtangulia na kusema kwa sauti, “Avrekh!”* Kwa hiyo Farao akamweka kuwa msimamizi wa nchi yote ya Misri.