-
Mwanzo 41:49Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
49 Yosefu akaendelea kukusanya nafaka nyingi sana katika maghala, kama mchanga wa bahari, hivi kwamba mwishowe wakaacha kuipima kwa sababu haingeweza kupimwa.
-