- 
	                        
            
            Mwanzo 46:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
6 Wakachukua mifugo yao na mali zao, walizokuwa wamekusanya katika nchi ya Kanaani. Basi wakafika Misri, Yakobo na wazao wake wote.
 
 -