-
Mwanzo 47:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Hatimaye watu wa nchi ya Misri na nchi ya Kanaani wakaishiwa na pesa, na Wamisri wote wakaanza kwenda kwa Yosefu na kumwambia: “Tupe chakula! Kwa nini tufe ukituangalia kwa kuwa pesa zetu zimekwisha?”
-